- 175 viewsDuration: 1:01Katibu katika idara ya vyuo vya ufundi Dkt.Esther Muoria awataka wanafunzi kujisajili kwa wingi katika vyuo hivyo vya kiufundi. Katibu huyo ambaye alikuwa akizungumza katika afisi yake asema kuwa vyuo kama hivyo si chaguo la pili kama ilivyo kuwa zamani.