10 Sep 2026 10:46 am | Citizen TV 1,861 views Duration: 3:15 Kaunti 18 zimetajwa kuwa katika hatari kubwa ya mafuriko kutokana na mvua za El Niño zinazotarajiwa kuanza Oktoba hadi Februari.