Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Bungoma yaanzisha kampeni ya kupima macho ya madereva kupunguza ajali

  • | Citizen TV
    344 views
    Duration: 1:58
    Wahudumu wa afya wanaoshughulikia magonjwa ya macho katika kaunti ya Bungoma wameanzisha kampeni ya kuwahamasisha na kuwahudumia madereva wenye matatizo ya kuona, katika juhudi za kupunguza ajali za barabarani.