- 2,434 viewsDuration: 2:40Wakazi wa jiji la Eldoret kaunti ya Uasin Gishu, wametaka usimamizi wa jiji hilo kuzingatia changamoto zinazozingira mfumo mpya unaotekelezwa jijini humo wa kutumia kiunzi kwenye simu kubaini majengo na sehemu mbalimbali kwenye mji huo.