Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Kajiado yazindua kituo cha mafunzo ya afya

  • | Citizen TV
    971 views
    Duration: 3:38
    Wizara ya Afya katika Kaunti ya Kajiado, kwa ushirikiano na wadau mbalimbali wa sekta ya afya, yazindua kituo maalum cha mafunzo kwa wahudumu wa afya. Mradi huu wafadhiliwa na shirika la KOICA na walenga kuwapa wahudumu wa afya pamoja na wanafunzi ujuzi wa kisasa wa kumhudumia mama anayejifungua katika hospitali mbalimbali za Kajiado.