- 269 viewsDuration: 3:25Mpango wa Mama na Mwana unaolenga kuimarisha huduma za afya ya mama na mtoto umezinduliwa rasmi katika Kaunti ya Kajiado, huku washikadau mbalimbali wakishirikiana na Serikali ya Kaunti katika juhudi za kupunguza vifo vya kina mama na watoto wachanga.