Skip to main content
Skip to main content

kaunti ya Kajiado yazindua vituo vinne vya afya Magadi

  • | Citizen TV
    967 views
    Duration: 3:23
    Kaunti ya Kajiado imezindua vituo vinne vya afya katika eneo la Magadi. Zahanati hizo zimefunguliwa Musenke, Nkuruman, Oloika na Naserian ili kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wakazi.