Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Kisumu yapiga marufuku uchuuzi wa barabarani

  • | Citizen TV
    1,733 views
    Duration: 2:11
    Serikali ya Kaunti ya Kisumu imepiga marufuku uchuuzi wa barabarani na kupanga kuwatengea wachuuzi maeneo maalum ya kufanyia biashara.