22 Sep 2026 10:42 am | Citizen TV 756 views Duration: 2:14 Wavuvi,wachuuzi wa samaki na wakulima wa mwani katika kaunti ya Kwale wanatarajiwa kunufaika na mpango mpya wa miaka mitatu wa kuimarisha uchumi wa baharini kupitia uwekezaji wa mifumo endelevu ya rasilmali za baharini.