- 750 viewsDuration: 4:19Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya majanga duniani, katika Kaunti ya Nakuru sherehe za kitaifa zinafanyika. Gavana wa Kaunti hiyo Susan Kihika anaongoza sherehe hizo huku makundi tofauti yakipata nafasi ya kuonyesha yalivyojiandaa kushughulikia matukio ya dharura, hasa mvua ya El-nino inayotarajiwa.