- 340 viewsDuration: 7:52Huku dunia ikiadhimisha siku ya majanga duniani, Katika Kaunti ya Nakuru sherehe za kitaifa zinafanyika huko, Waziri wa Usalama wa ndani Kipchumba Murkomen, pamoja na Gavana wa Kaunti hiyo Susan kihika wakiongoza sherehe hizo, makundi tofauti yakipata nafasi ya kuonyesha walivyojiandaa kushughulikia matukio ya dharura, haswa mvua ya El-nino inayotarajiwa.