Skip to main content
Skip to main content

KEBS yaonya wafanyabiashara wanaouza bidhaa ghushi na zisizokaguliwa

  • | Citizen TV
    301 views
    Duration: 1:39
    Shirika la kukadiria ubora wa bidhaa nchini KEBS limetoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaojihusisha na uuzaji wa bidhaa ghushi na zile ambazo hazijakaguliwa, likiwataka kuzingatia viwango vya ubora vilivyowekwa kisheria.