25 Nov 2025 8:30 am | K24 Video 538 views Duration: 1:22 “Kenya kama uko serikalini huwezi kujitetea kwa maneno, ukiwa serikalini unajitetea kwa vitendo. Mambo ya maneno ni ya wale wako nje,” Ndindi Nyoro.