Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza wamkosoa Gachagua kwa ziara kwa familia ya Ng’eno

  • | Citizen TV
    3,993 views
    Duration: 2:38
    Viongozi wa Kenya Kwanza wamekosoa ziara ya kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua kwa familia ya aliyekuwa mbunge wa Emurua Dikir Johanna Ngeno. Viongozi hao waliokuwa wakizungumza kaunti ya Narok, wamesemaGachagua anatumia kifo cha Ng'eno kujitafutia umaarufu wa kisiasa. Haya ni huku Viongozi wengine wa Kenya Kwanza wakiendeleza kampeni za kumpigia debe rais Ruto katika Kaunti ya Kakamega.