Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza yamtaka Gachagua akome uchochezi

  • | Citizen TV
    2,023 views
    Duration: 2:38
    Viongozi wa Kenya Kwanza wamemtaka aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, kukoma kueneza siasa za chuki na uchochezi. Wakizungumza katika kaunti za Bungoma County, Kakamega County na Uasin Gishu County, viongozi hao pia waliipigia debe serikali ya William Ruto na kuwataka Wakenya kupuuza viongozi wa upinzani.