- 3,302 viewsDuration: 2:36Viongozi wa Kenya Kwanza sasa wanasema hawatishwi na vitisho vya wenzao wa upinzani kutaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi kuhusu visa vya uhuni vinavyoshuhudiwa nchini. Kiongozi wa Wengi katika Bunge la Kitaifa, Kimani Ichung’wah, amewakemea viongozi wa upinzani, akisema baadhi yao ni wanafiki wanaojihusisha na uhuni huku wakiilaumu serikali.