11 Sep 2026 10:36 am | Citizen TV 468 views Duration: 1:46 Kenya na China zinaendelea kuimarisha uhusiano wao kupitia ushirikiano wa kitamaduni, huku mavazi, sanaa na ubunifu vikitumika kama daraja la kuwaleta pamoja watu wa mataifa haya mawili.