Skip to main content
Skip to main content

Kenya na Uingereza zakubaliana kusaini upya mkataba wa BATUK

  • | Citizen TV
    5,210 views
    Duration: 3:10
    Serikali ya Kenya na Uingereza zimeafikiana kuhusu kutia saini upya mkataba wa ushirikiano kuhusu mazoezi ya wanajeshi wa Uingereza nchini, BATUK. Hata hivyo, Kamati ya Bunge la Kitaifa kuhusu Ulinzi inashikilia kwamba ni sharti kipengele kinacholazimisha wanajeshi wa Uingereza kuchukuliwa hatua iwapo wanavunja sheria nchini kutiwa saini. Seth Olale ana taarifa kamili.