Skip to main content
Skip to main content

Kenya Police Bullets kuelekea Rwanda kwa mechi za kufuzu CECAFA CAF 2026

  • | Citizen TV
    461 views
    Duration: 1:04
    Mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake, Kenya Police Bullets, wanaelekea Kigali, Rwanda, kushiriki katika mechi za kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa wa Wanawake ya CECAFA CAF 2026. Timu kumi kutoka eneo la CECAFA zimethibitisha kushiriki katika mashindano hayo ya kufuzu.