25 Sep 2026 10:21 am | Citizen TV 342 views Duration: 1:02 Kenya Tourism Board imezindua kampeni ya “Hapa Ni Wapi” inayolenga kukuza utalii wa ndani, huku Kaskazini mwa Kenya ikiwa miongoni mwa maeneo ya kwanza kupewa kipaumbele.