Skip to main content
Skip to main content

Kenya yaanza maandalizi ya kukabiliana na El Niño

  • | Citizen TV
    2,032 views
    Duration: 3:14
    Kenya inajiandaa kwa msimu wa mvua ambao huenda kwa mara nyingine ukajaribu uwezo wa taifa kukabiliana na majanga. Serikali inasema inatarajia kupata karibu dola milioni mia nne za ufadhili wa dharura kutoka Benki ya Dunia, fedha zinazolenga kusaidia nchi kukabiliana na msururu wa changamoto zinazoweza kujitokeza kwa wakati mmoja, miongoni mwazo mvua zinazotarajiwa za El Niño. Hii leo tunaangazia kwa kina maana halisi ya El Niño na athari zinazoweza kuwakumba Wakenya.