- 1,430 viewsDuration: 3:24Kenya imeongeza juhudi za kuongeza idadi ya bidhaa zinazouzwa nje ya nchi. Kupitia mamlaka ya utozaji ushuru, bandari ya mombasa pamoja na wanaosarifisha bidhaa , wamekuwa wakilenga bidhaa za kilimo kama vile maparachichi na mananasi yanazidi kupata umaarufu katika masoko ya kimataifa.