Skip to main content
Skip to main content

Kenya yarekodi kisa cha pili cha ugonjwa wa Ebola, Bundibugyo

  • | NTV Video
    5,527 views
    Duration: 3:16
    Kenya imerekodi kisa cha pili cha ugonjwa wa Ebola, Bundibugyo. Kulinganana na wizara ya afya, mgonjwa huyo mwanamume wa miaka 39 ni jamaa wa marehemu aliyenakiliwa kama kisa cha kwanza nchini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya