- 6,395 viewsDuration: 2:00Jioni hii ya leo, mtu mwingine mmoja amethibitishwa kuambukizwa ugonjwa wa Ebola, huku sasa visa vilivyoripotiwa vikifikia watu wawili. Wizara ya Afya inaripotiwa kusema kuwa mgonjwa huyu alikuwa miongoni mwa wale waliokuwa karantini baada ya kutangamana na mgonjwa wa kwanza aliyeaga dunia.