26 Oct 2026 10:22 am | Citizen TV 419 views Duration: 1:25 Kenya imezindua mpango wa hatua saba ili kuimarisha uchunguzi wa mipaka ili kuzuia ugonjwa wa Ebola , ukizingatia uwanja wa ndege wa JKIA na vituo vya mipaka vya Busia, Malaba na Lwakakcha.