Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya kutimuliwa kwa Gachagua yaendelea katika mahakama ya Milimani

  • | Citizen TV
    5,106 views
    Duration: 5:03
    Kesi ya kutimuliwa kwa aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua ofisini yaendelea katika mahakama ya milimani. mawakili wa Gachagua wawasilisha hoja zao kabla ya mahakama kutoa uamuzi. Gachagua ataka alipwe fidia ya zaidi ya shilingi milioni 80 akidai aliondolewa ofisini kinyume cha sheria.