Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya mauaji Kerugoya

  • | Citizen TV
    1,265 views
    Duration: 1:48
    Mahakama ya Kerugoya yaamuru kuwa mshukiwa Peter Kanumbi aliyedaiwa kumuua Mwalimu wa JSS Betty Wanjiru, katika shule ya Ithiga ria Njukii eneo la Mwea kaunti ya Kirinyaga kuwa azuiliwe kwa siku 5 kwenye kituo cha polisi cha Kerugoya