19 Aug 2026 7:51 pm | Citizen TV 537 views Duration: 50s Kesi ya unajisi inayomhusu msichana wa miaka 16 imeendelea katika Mahakama ya Makadara, Nairobi, huku mwathiriwa akitoa ushahidi wake leo.