Skip to main content
Skip to main content

Kiambu: Wafanyabiashara wandamana wakilalamik kuhusu kukandamizwa kupitia ada za leseni za biashara

  • | NTV Video
    1,125 views
    Duration: 2:40
    Wafanyabiashara mjini Kiambu wameandamana wakilalamikia maafisa wa ukaguzi wa kaunti kwa madai ya kuwakandamiza kupitia ada za leseni za biashara ambazo wanasema ni kinyume cha sheria na hazina uwiano. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya