Skip to main content
Skip to main content

Kiambu: Wakulima wa kahawa wakadiria hasara baada ya wahalifu kupora zaidi ya magunia 80 ya kahawa

  • | NTV Video
    204 views
    Duration: 2:35
    Wakulima wa kahawa kutoka viwanda vitatu vya Githobokoni, Igegania na Kiriko, katika Gatundu Kusini, wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya wahalifu kupora zaidi ya magunia 80 ya kahawa kutoka katika viwanda hivyo katika kipindi cha wiki tatu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya