Skip to main content
Skip to main content

Kiambu yaongeza hospitali za ngazi ya nne

  • | Citizen TV
    346 views
    Duration: 2:39
    Kaunti ya Kiambu County imeendeleza juhudi za kuimarisha sekta ya afya ili kukidhi mahitaji ya wakazi wake. Gavana Kimani Wamatangi amesema kaunti hiyo imeongeza idadi ya hospitali za ngazi ya nne hadi 14, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa wananchi wanaotafuta huduma za afya na kuboresha upatikanaji wa matibabu karibu na makazi yao.