Skip to main content
Skip to main content

Kijabe: wakazi washinikiza kuruhusiwa kuwa na klabu moja ili kupunguza biashara ya pombe haramu

  • | NTV Video
    1,044 views
    Duration: 2:38
    Kwa miaka mingi, sehemu ya Kijabe, Kaunti ya Kiambu, imesalia bila vilabu kutokana na sheria kali za Kanisa la AIC ambalo linaongoza eneo hilo. Hata hivyo, sasa wakazi wanashinikiza kuruhusiwa kuwa na klabu moja ili kupunguza biashara ya pombe haramu ambayo wanasema imekita mizizi na kuwa kero kubwa kwao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya