- 4,917 viewsDuration: 4:14Kijana mmoja Mwenye Umri wa miaka 23 kutoka kijiji cha Kaboywo huko Kaptama, eneo bunge la mlima Elgon, ameshangaza wengi baada ya kukamilisha safari ya Kilomita 500 akitembea kwa miguu Kutoka Kijiji chake hadi jijini Nairobi kuhubiri amani. Musa Korir alitumia siku nane kwenye safari hiyo, ambapo kila alikopumzika, alipitisha jumbe za amani kwa wakenya. Korir anasema amechochewa na machafuko ya awali katika eneo lake la Mlima elgon kuanzisha harakati ya kuhubiri Amani, akilenga kuhamasisha viongozi wa kisiasa na wafuasi wao