Skip to main content
Skip to main content

Kilifi imeelekeza juhudi zake kwa jamii za wenyeji katika mpango wa kuokoa misitu ya Kaya

  • | NTV Video
    108 views
    Duration: 1:52
    Serikali ya Kaunti ya Kilifi imeelekeza juhudi zake kwa jamii za wenyeji katika mpango mpya wa kuokoa misitu ya kale ya Kaya iliyo hatarini kutoweka kutokana na ukataji miti haramu, uchomaji mkaa na uvamizi wa ardhi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya