- 366 viewsDuration: 3:27Zao la mawele, ambalo zamani lilikuwa chakula muhimu kwa jamii zinazoishi katika maeneo kame nchini, sasa linaanza kurejea kwa kasi. Kutokana na mvua zisizotabirika na ongezeko la joto, wanasayansi na wakulima wanageukia mbinu mpya na mbegu bora za mawele kama suluhu ya changamoto hizo. Kwenye makala ya wiki hii ya Kilimo Biashara