Skip to main content
Skip to main content

Kilimo Biashara: Mbinu mpya zaongeza tija kwa rasilimali chache

  • | Citizen TV
    405 views
    Duration: 3:21
    Ujumuishaji wa kilimo kisichotumia udongo pamoja na ufugaji wa samaki na kuku umempatia mkulima mmoja katika Kaunti ya Kiambu mavuno bora kutokana na mbinu hiyo endelevu inayotumia rasilmali chache kupata mapato ya kuridhisha. Mbinu hiyo inamwezesha kuongeza uzalishaji, kuokoa maji, mbolea na kutumia kipande kidogo tu cha ardhi.