Skip to main content
Skip to main content

Kilimo biashara: Shamba la majaribio laonyesha kilimo kinawezekana Turkana

  • | Citizen TV
    360 views
    Duration: 3:07
    Kaunti ya Turkana inajulikana zaidi kwa hali yake ya mazingira makavu. Lakini katika kijiji kimoja nje ya mji wa Lodwar, shamba la majaribio linabadilisha mtazamo huo kwa kuthibitisha kuwa kilimo kinaweza kustawi hata katika maeneo kame. Kupitia kilimo mseto, mpango huu unaonyesha jinsi ubunifu na matumizi bora ya rasilimali yanavyoweza kuongeza uzalishaji wa chakula na vile vile kuboresha maisha. Denis Otieno anaangazia zaidi kwenye Kilimo Biashara wiki hii.