Skip to main content
Skip to main content

Kilimo cha ndizi za kiume chukua kasi Murang’a

  • | Citizen TV
    2,988 views
    Duration: 3:25
    Kilimo cha ndizi za kiume kinaendelea kupata umaarufu miongoni mwa wakulima wanaotafuta mazao yenye thamani kubwa na yanayoweza kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa. Katika Kaunti ya Murang’a, mkulima mmoja amewavutia wengi kwa mbinu ya kipekee ya kulima ndizi hizo kwa kuzipanda ndani ya mitaro.