Skip to main content
Skip to main content

Kilimo chachangia ukuaji wa uchumi 2025

  • | Citizen TV
    140 views
    Duration: 2:21
    Utafiti wa mwaka 2025 wa uchumi wa nchi unaonyesha kuwa pato la kitaifa limeongezeka kwa asilimia 4.6. Kulingana na ripoti ya Shirika la Kitaifa la Takwimu (KNBS), sekta ya kilimo imechangia pakubwa ongezeko hilo.