- 348 viewsDuration: 3:49Wachimba migodi eneo la Nyabigena kule Mugirango Kusini waelezea wasiwasi wao kuhusu madai ya kuhangaishwa na maafisa wa serikali ya kaunti ya Kisii licha ya kuwa na stakabadhi zinazohitajika za kuchimba Mawe aina ya Soapstone kujikimu kimaisha