26 May 2026 11:10 am | Citizen TV 518 views Duration: 1:59 Wakulima katika kaunti ya Kirinyaga wasema kuwa wanafaidika na bei nzuri ya kahawa huku wakisisitiza kuwa kuimarika kwa bei ya kahawa ambayo imefika shilingi 150 kwa kilo, kunawapa motisha ya kuongeza uzalishaji.