1 Sep 2026 10:17 am | Citizen TV 418 views Duration: 2:01 Wazee na viongozi kutoka eneo la Sala katika kaunti ya Tana River wamehimiza wakazi kujisajili kwa wingi kama wapiga kura na kuwapa kina mama fursa ya uongozi wakisema wana uwezo wa kuleta usawa katika jamii.