- 1,864 viewsDuration: 1:22Kinara wa chama cha DP Justin Muturi ametaka uwajibikaji na uwazi katika utoaji wa zabuni kwa kampuni za kimataifa zinazohusika katika usimamizi wa vifaa vya uchaguzi. Akizungumza wakati wa mkutano wa wadau mbalimbali unaohusisha vyama.