Skip to main content
Skip to main content

Kinara wa chama cha UGM David Maraga ataka fedha za majanga zipelekwe kaunti mapema

  • | Citizen TV
    306 views
    Duration: 49s
    kinara wa chama cha UGM david maraga ameitaka serikali kutuma pesa za kukabiliana na majanga mapema katika kaunti ili kaunti zijiandae vyema kudhibiti athari za mvua ya el nino inayotarajiwa msimu ujao. Akizungumza katika makao makuu ya chama hicho mtaani westlandas hapa jijini nairobi, Maraga amewaonya maafisa wa serikali dhidi ya kujinufaisha na pesa za kukabiliana na majanga nchini.