Skip to main content
Skip to main content

Kinara wa chama cha wiper Kalonzo ataka IEBC iwe wazi kuelekea uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    2,789 views
    Duration: 57s
    Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amesema kuwa upinzani utafuatilia kwa karibu sana uchaguzi ujao ili kuzuia visa vya kila mara vya wizi wa kura. Kalonzo ameitaka IEBC kuwa na uwazi kwenye mchakato mzima wa maandalizi ya uchaguzi ili kuzuia mtafaruku na kuleta imani kuwa inaendesha uchaguzi huru .