Skip to main content
Skip to main content

Kinara wa DCP Gachagua akosoa mfumo uliotumiwa kwa mfumo wa kuwachagulia shule wanafunzi una ubaguzi

  • | Citizen TV
    5,955 views
    Duration: 1:08
    Naye kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameendelea kushikilia kwamba mfumo wa kuwachagulia shule wanafunzi wanaojiunga na shule za upili inaonekana kuwa na ubaguzi akisistiza kwamba mfumo huo unawakwaza wanafunzi na wazazi wengi. Gachagua akizungumza mjini Nyeri anasema kwamba serikali inafaa kurejelea mfumo wa zamani uliokuwa unatekelezwa na walimu wakuu