- 154 viewsDuration: 2:45Serikali sasa inawahakikishia wakazi wa Elgeyo Marakwet kwamba watapewa nafasi za usimamizi wa msitu wa Kaptagat uliohifadhiwa baada ya kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mpango wa uokoaji wa msitu huo. Naibu Rais Kithure Kindiki, amesema serikali itaendelea kuweka juhudi zaidi katika kuimarisha misitu nchini ili kufikia malengo ya serikali ya kupanda miti bilioni 15 kufikia mwaka 2032