Skip to main content
Skip to main content

Kindiki amkosoa Ruku kwa madai ya kugawanya Mlima Kenya

  • | Citizen TV
    2,590 views
    Duration: 1:52
    Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amemtaka Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku kukomesha kile anachokitaja kuwa ni juhudi za kuigawanya kisiasa eneo la Mlima Kenya kuwa Mlima Kenya Mashariki na Mlima Kenya Magharibi.