Skip to main content
Skip to main content

Kindiki amshambulia Gachagua, aahidi kusalia kama DP na mgombea mwenza wa Ruto

  • | Citizen TV
    6,522 views
    Duration: 2:43
    Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amesisitiza kuwa atasalia katika wadhifa huo na kama mgombea mwenza wa Rais William Ruto kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2027. Kindiki amemrushia cheche za maneno kinara wa DCP Rigathi Gachagua, akimtaja kama kiongozi ambaye hana maono na kuwataka wakazi wa Mlima Kenya kuunga mkono azma ya Rais Ruto.