Skip to main content
Skip to main content

Kindiki amtetea Rais, akisema upinzani hawana ajenda ya maana

  • | Citizen TV
    658 views
    Duration: 1:12
    Kwa Mara nyingine tena Naibu Rais prof. Kithure Kindiki amewafokea vinara wa upinzani kwa kuendesha siasa anazotaja kuwa za kuwahadaa wakenya. Akizungumza alipokagua miradi ya maendeleo katika kaunti ya Meru hii leo, Kindiki amewapa changamoto viongozi hao kuendesha kampeni za sera. Vile vile naibu rais ametetea rekodi ya serikali ya Kenya Kwanza akisema ana imani kubwa kuwa Rais William Ruto atabwaga upinzani mapema kwenye uchaguzi wa mwaka ujao.